Mtunzi: Benny Weisiko John
> Mfahamu Zaidi Benny Weisiko John
> Tazama Nyimbo nyingine za Benny Weisiko John
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Misa
Umepakiwa na: Benny Weisiko
Umepakuliwa mara 2,849 | Umetazamwa mara 8,077
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Kama moshi wa ubani unavyopaa, Altareni ndivyo na sala zetu zipae kwako Ee Mungu. X2
SHAIRI
1. Sadaka twaleta ya mkate na divai, twakuomba Mungu uzipokee.
2. Nyimbo nazo sala tunazokutolea, twakuomba Mungu uzipokee.
3. Nazo dhmbi zetu na udhaifu wetu, uzifute kwa sadaka hii.