Ingia / Jisajili

NCHI IMEJAA FADHILI ZA BWANA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 612 | Umetazamwa mara 1,842

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NCHI IMEJAA FADHILI ZA BWANA (kweli)NCHI IMEJAA FADHILi ZA BWANAx2(1)Kwaneno la Bwana mbingu zilifanyika Aleluya aleluya aleluya.(2)Huzipenda haki na hukumu nchi IMEJAA FADHILi za Beans.(3)Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika najeshi lake lote kwapumzi ya kinywa chake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa