Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,454 | Umetazamwa mara 4,005
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
Kiitikio: (Bwana asema mimi ni wokovu wa watu)x2
Mashairi: 1. Wakinililia katika taabu yo yote nitawasikiliza
2. Nami nitakuwa Bwana wao milele