Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 396 | Umetazamwa mara 1,887
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
BWANA ASEMA MIMI NI WOKOVU
KIITIKIO:
Bwana asema mimi ni wokovu wa watu x 2.
Mimi ni wokovu wa watu x 2.
MASHAIRI:
1.Wakinililia katika taabu yoyote,nitawasikiliza.
2.Nami nitakuwa Bwana-Bwa-na wa-o,Bwana wao milele.