Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 1,197 | Umetazamwa mara 3,381
Download Nota Download MidiNI NENO JEMA KUMSHUKURU BWANA
KIITIKIO:Ni neno jema kumshukuru Bwana,ni neno jema kumshukuru Bwanax2.
MASHAIRI:
1.Ni neno jema kumshukuru Bwana na kuliimbia sifa jina lako ee uliye juu,kuzitangaza rehema zako asubuhi na uaminifu wako wakati wa usiku.
2.Mwenye haki atasitawi kama mtende ,kama mtende atakuwa atakuwa atakuwa kama mwerezi wa Lebanoni.
3.Waliopandwa katika nyumba nyumba ya Bwana watasitawi katika nyua za Mungu wetu watazaa matunda hadi wakati wa uzee watajaa utomvu watakuwa na ubichi.