Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 294 | Umetazamwa mara 1,580
Download Nota Download MidiTUJONGEE SOTE MEZANI
KIITIKIO:Tujongee tujongee sote mezani pake Bwana tukale chakula,chakula cha uzima x 2.
MASHAIRI:
1(a).Mezani pa Bwana pameandaliwa,chakula bora twendeni tukale.
1(b).Twende tujongee tukale chakula,ili tuurithi uzima wa milele.
2(a).Mwili wake Bwana ni chakula,chakula bora twendeni tukale.
2(b).Damu yake Bwana ni kinywaji,kinywaji safi twendeni tukanywe.
3(a).Bwana asema aulaye mwili wangu,na kuinywa damu yangu anao uzima.
3(bTwendeni sote tukashiriki,ili tupate uzima wa milele.