Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pasaka
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiBWANA ASEMA MKINIPENDA
Bwana asema, mkinipenda (mimi) mtashika amri zangu; mkinipenda (mimi) mtashika amri zangu x2
1.Nami nitamwomba Baba, naye atawapa msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele