Ingia / Jisajili

Bwana Asema Nirudieni

Mtunzi: Arthur Awet
> Tazama Nyimbo nyingine za Arthur Awet

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,524 | Umetazamwa mara 6,275

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote kwa maana mimi ni mwenye huruma na neema x 2

nurudieni mimi nirudieni mimi nirudieni mimi nirudieni mimi nirudieni kwa mioyo yenu yote, kwa maana mimi ni mwenye huruna na neema x 2

  1. Acheni maovu, acheni dhambi, nirudieni, nitawasamehe, nitawatakasa asema Bwana.
     
  2. Tuishi kadiri, ya neno la Mungu, tuache mabaya, tuyatende mema, tuyashike aliyotufundisha.
     
  3. Tusitegemee, mambo ya dunia, tumtegemee, Mungu mu'umba wetu, tumrudieni tuache dhambi.
     
  4. Tuache ugomvi, na mafarakano, tuwe na upendo, tuwe na amani, tuyashike aliyoshika Kristu.

Maoni - Toa Maoni

titus Aug 08, 2016
daima tusali mara mbili

Toa Maoni yako hapa