Mtunzi: Arthur Awet
> Tazama Nyimbo nyingine za Arthur Awet
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 990 | Umetazamwa mara 2,885
Download Nota Download MidiMungu amepaa kwa kelele Mungu kwa kelele za shangwe za shangwe
Bwana Mungu kwa sauti kwa sauti ya baragumu X2
1. Enyi watu enyi watu wote pigeni makofi mshangilieni Mungu kwa kelele za furaha