Ingia / Jisajili

Msijisumbue

Mtunzi: Arthur Awet
> Tazama Nyimbo nyingine za Arthur Awet

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 465 | Umetazamwa mara 2,566

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msijisumbue kwa neno lolote bali katika kila neno kwa sala na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na Mungu x 2

  1. Basi msisumbukie ya kesho kwa kuwa keshi itajisumbukia yenyewe bali haja zenu zijulikane na zijulikane na Mungu.
     
  2. Imeandikwa ombeni nanyi mtapewa tafuteni tafuteni nanyi mtapata bisheni bisheni mlango nanyi mtafunguliwa.
     
  3. Bwana asipoijenga nyumba aijengaye hufanya kazi bure, Bwana asipoulinda mji aulindaye hukesha bure.
     
  4. Mkabidhi Bwana njia zako pia umtumaini yeye naye atafanya. Mkabidhi Bwana usijisumbue.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa