Ingia / Jisajili

Bwana Upokee Vipaji

Mtunzi: Arthur Awet
> Tazama Nyimbo nyingine za Arthur Awet

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,332 | Umetazamwa mara 6,223

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana twaomba uvipokee vipaji tunavyokutolea leo twaomba pokea vipaji (vyetu) pokea vipaji vyetu vikupendeze x 2

  1. Ni mapato ya kazi za mikono yetu sisi wanadamu, Bwana uyapokee uyabariki yakupendeze.
     
  2. Pokea sala zetu pia na majitoleo yetu pia na nyoyo zetu uzipokee uzitakase.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa