Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 267 | Umetazamwa mara 886

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA WEWE NDIWE MWENYE HAKI .NAHU KUMUZEKE NI ZA ADILI.X2.,KAMA ZILIVYO REHEMA ZAKO UMTENDEE MTUMISHI WAKO.x2.(1).Heri walio kamili njia zao waendao katika Sheria za Bwana.(2).Kando ya mito ya Babeli ndiko tulipo keti. Tukalia tulipo izunguka sayuni. (3) Kama si Bwana aliye kuwa pamoja nasi.wanadamu walipo tushambulia. (4). Wamtumainio Bwana nikama mlima sayuni.Ambao hautatikisika wakaa milele.(5).Bwana alipo warejeza mateka WA sayuni.tulikuwa Tulikuwa kama waotao ndoto.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa