Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 851 | Umetazamwa mara 2,622
Download Nota Download MidiEe Bwana utege sikio lako unijibu, Wewe uliye Mungu Mungu wangu Mungu wangu,( Umuokoe mtumishi wako anaye kutumaini).
Mashairi.
1. Kwa maana wewe u mwema umekuwa tayari kusamehe.
2.Ee Bwana unifadhili maana nakulilia mchana kutwa.