Ingia / Jisajili

Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 656 | Umetazamwa mara 1,298

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana kama wewe ungehesabu maovu (Ee Bwana) nani angesimama nani angesimama X2

Lakini kwako kuna msamaha lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe ili wewe uogopwe X2

1. Ee Bwana toka vilindini nimekulilia Bwana uisikie sauti yangu masikio yangu na yaisikilize sauti ya dua yangu

2. Nimemngoja nimemngoja Bwana roho yangu imengoja imengoja na neno lake na neno lake nimelitumainia

3. Nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walinzi waingojao asubuhi naam walinzi waingojao waingojao asubuhi

Maoni - Toa Maoni

Gaspar Oct 03, 2022
PDF na Jina la wimbo ni tofauti.

Toa Maoni yako hapa