Ingia / Jisajili

Mwombeni Bwana Wa Mavuno

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 306 | Umetazamwa mara 915

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwombeni Bwana mwombeni Bwana wa mavuno apeleke apeleke watenda kazi katika mavuno yake X2

1. Yesu alipowaona makutano aliwahurumia kwa sababu walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji

2. Ndipo akawaambia wanafunzi wanafunzi wake mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache lakini watenda kazi ni wachache


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa