Ingia / Jisajili

Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 5

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO.

Ee Bwana kama wewe ungehesabu maovu maovu ni nani angesimama,x2

SHAIRI.

1.Lakini kwako Kuna msamaha ili wewe uogopwe nimemngoja Bwana na roho yangu imemngoja na neno lake nimelitumainia.

2. Nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, Naam walinzi wangojavyo asubuhi




Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa