Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Miito | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Faustini Mganuka
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 16
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka C
Kiitikio
Moyo wangu umekuambia Bwana uso wako nitautafuta usinifiche uso wako.
Shairi:
1.Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia unifadhili unijibu
2.Ee Bwana nifundishe na uniongeze Ee Bwana katika njia yako iliyonyooka Ee Bwana wangu