Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwanzo
Umepakiwa na: Faustini Mganuka
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 21 Mwaka C
Kiitikio
Ee Bwana utege sikio lako unijibu.x2
Wewe uliye Mungu wangu Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.x2
Shairi
1. Wewe Bwana unifadhili maana nakukimbilia wewe mchana kutwa usijitenge nami Ee Bwana.
2. Wewe Bwana ningome yangu nakutumainia Bwana wangu milele yote, Kwako Ee Bwana Kuna mema mengi
3. Siku zote nikuitapo We Bwana njoo hima unipe faraja ya moyo, maana wewe ndiwe Kinga yangu