Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Faustini Mganuka
Umepakuliwa mara 47 | Umetazamwa mara 62
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C
KIITIKIO
Ataniita nami nitamwitikia nitamuokoa na kumtukuza kwa siku nyingi nitamshibisha.x2
SHAIRI.
1. Nitakuwa pamoja naye taabuni kwa siku nyingi nitamshibisha sitamuacha.
2. Kwa kuwa amekeza kunipenda nitamwokoa na kumweka palipo inuka.
3. Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu Mungu ninayemtumaini