Ingia / Jisajili

BWANA NDIYE MCHUNGAJI

Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 803 | Umetazamwa mara 1,881

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Bwana ndiye Mchungaji wangu, sitapungukiwa, sitapungukiwa, sitapungukiwa na kitu *2

MASHAIRI

  1. Katika malisho ya majani mabichi, hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza.
  2. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza, kuniongoza katika njia ya haki kwa ajili ya jina lake.
  3. Naam nijapopita kati ya bonde, bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
  4. Waandaa meza mbele yangu, machoni pa watesi wangu, machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta kichwani pangu na kikombe changu kitafurika.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa