Ingia / Jisajili

Ee Bwana Sala Yangu

Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 820 | Umetazamwa mara 3,066

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Ee Bwana sala yangu ipae mbele (mbele zako), kama moshi wa ubani,

kama moshi wa ubani. X2

Na kuinuliwa kwa mikono yangu iwe kama sadaka jioni. X2

MASHAIRI

  1. Tunakusihi Bwana uipokee sala yetu, ipae mbele zako kama moshi wa ubani, iwe kama sadaka ya mtumishi wako Abeli.
  2. Matoleo yetu kazi ya mikono yetu, twayaleta mbele zako kwa unyenyekevu mkubwa, tunakusihi Ee Bwana uyatakase uyapokee.
  3. Vipaji hivi tunavyokutolea vikupendeze, vipae mbele zako kama moshi wa ubani, viwe kama sadaka ya jioni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa