Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 1,450 | Umetazamwa mara 4,240
Download Nota Download MidiKiitikio
Waumini wote twendeni, tukatoe sadaka (twendeni) kwa Bwana Mungu wetu kama shukrani zetu.
Mashairi:
1. fedha zote tulizonazo leo, ametujalia kwa neema zake, yatupasa kumtolea shukrani.
2. Afya njema na maisha mazuri, ametujalia, kwa neema zake, yatupasa twende wote kumshukuru.