Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiAMEPAA
Amepaa, mbinguni amepaa, Yesu amepaa, amepaa Yesu juu mbinguni, kwenda kutuandalia makao x2
1. Enyi wat wa Galile mwashangaa nini, mlivyomwona akienda juu mbinguni ndivyo atarudi