Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 4
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C
MASIFUNI BWANA
Msifuni Bwana msifuni (sifuni) anayewakweza maskini x2
1. Aleluya, enyi watumishi wa Bwana sifuni / Lisifuni jina la Bwana / Jina la Bwana lihimidiwe, tangu leo na hata milele