Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi | Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 665 | Umetazamwa mara 964

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Bwana) ndiye mchungaji wangu (Bwana) ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu X2

1. Bwana mchungaji wangu na sitapungukiwa kwenye malisho yeye hunilaza

2. Yeye anatawala kwenye bahari zote toka mto na kingo za dunia

3. Wafalme wa dunia na watamwabudia mataifa yatamtumikia

Maoni - Toa Maoni

Leonard mwimbage Aug 06, 2025
Utunzi mzuri Kwak3

Toa Maoni yako hapa