Ingia / Jisajili

Bwana Aliniambia

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 15,980 | Umetazamwa mara 23,620

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana aliniambia, ndiwe mwanangu, mimi leo nimekuzaa leo, nimekuzaa leo x 2

  1. Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu, wanafanya shauri pamoja juu ya Masiha wake.
     
  2. Yeye anayeketi huko mbinguni anacheka, naye Bwana anawafanyia dhihaka hao wafalme.
     
  3. Bwana aliniambia ndiwe mwana wangu, mimi nimekuzaa leo, nimekuzaa leo.
     
  4. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo, sasa na siku zote milele amina.

Maoni - Toa Maoni

b Dec 16, 2021
sehemu ya nimekuzaa leo original copy na hii znatofautiana

gasto kwembe Sep 08, 2018
Mungu awabaliki sana nyimbo nzuli nimezipenda nitazipaje

gasto kwembe Jun 10, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu nazipenda sana nyimbo za John mgandu ngefulai sana ningezipata ningefarijika tena Sana

SAJILO JULIUS MARK Oct 23, 2017
Hongereni sana kwa utunzi wa nyimbo nzuri Mungu azidi kuwabariki sana.

Toa Maoni yako hapa