Ingia / Jisajili

Nakwenda Kwa Baba

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,011 | Umetazamwa mara 8,879

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nakwenda kwa Baba kuwatayarishieni makao ya mbinguni, nitakuja tena niwakaribishe kwangu (daima)
Ili nilipo mimi nanyi muwepo x 2 

  1. Msifadhaike mioyoni mwenu, mwaminini Mungu nami mniamini.

  2. Nyumbani mwa Baba mna makao mengi, La sivyo ningalikwisha waambieni. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa