Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 3,057 | Umetazamwa mara 7,394
Download Nota Download MidiBwana pokea sadaka yetu tunayokutolea sisi wa nao pokea EE Baba Pokea Ee Baba tunakutolea x2
1. Mkate tunaokutolea ni mazao ya mashamba yetu, upokee upokee upokee tunakutolea.
2. Divai tunayokutolea ni mazao ya mashamba yetu, upokee upokee upokee tunakutolea.
3.Sadaka tunaykutolea ni juhudi za mikono yetu, upokee upokee upokee tunakutolea.