Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 1,157 | Umetazamwa mara 5,216
Download Nota Download MidiKiitikio:
Sikati tamaa, katika mateso na shida zote zinazonizunguka, maana ninajua mtetezi wangu yuko hai.x2 Naamini nitayashinda, mambo magumu kwa jina lako, na kwa jina lako nitaendelea kubaki imara x 2
Mashairi:
1. Rafiki mwema mpole kwaminifu ndiwe Yesu, wote wakiniacha utabaki pamoja nami
2. Hata mwili wangu ukiharibika kwa njaa na magonjwa, kipi kitanitenga na wewe rafiki mwaminifu
3. Dunia itanipa nini hata nikuache Bwana Yesu? nyumbani mwako Ee Bwana kuna utajiri mwingi
4. Wewe ndiwe tumaini la uzima wa milele, msaada kwao wote wenye shida, kimbilio la wadhambi na ukombozi wetu