Ingia / Jisajili

Bwana Yesu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 130 | Umetazamwa mara 199

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake (aliwaosha miguu yao aliwaosha miguu yao) X2

1. Je mmeelewa kwa hayo niliyowaambia ninyi mwaniita mwalimu na Bwana nanyi mwanena vema maana ndivyo nilivyo

2. Basi ikiwa mimi niliye Bwana na Mwalimu nimewatawadha miguu imewapasa vivyo kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi

3. Kwa kuwa nimewapa nimewapa kielelezo ili kama mimi nilivyowatendea nanyi mtende mtende vivyo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa