Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 10,090 | Umetazamwa mara 17,934
Download Nota Download MidiEnendeni duniani kote, enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu x 2
Fundisheni kuyashika yote niliyowaamuru ninyi, aaminiye na kubatizwa ataokoka x 2