Ingia / Jisajili

Bwana Yesu Ni Tegemeo

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 353 | Umetazamwa mara 1,028

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Yesu ndiye tegemeo maishani mwetu ndiye anatujalia uzima wa Milele. Aulaye mwili wa Kristu na kunywa Damu yake Bwana Yesu Kristu huyo anao uzima, uzima wa Milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa