Ingia / Jisajili

NAMI NITAKAA NYUMBANI MWA BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 298 | Umetazamwa mara 605

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 28 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka A
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza. Kiitikio: Nami nitakaa, nami nitakaa, nyumbani mwa Bwana, milele milele yote. 2.Kando ya maji ya utulivu, Bwana huniongoza, hunihuisha nafsi yangu, hunihuisha. 3.Huniongoza katika njia za haki , kwa aili ya jina lake, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya. 4.Kwa maana wewe upo pamoja nami, gongo lako na fimbo vyanifariji, waandaa meza mbele yangu, machoni pa watesi wangu. 5.Umenipaka mafuta kichwani pangu, na kikombe changu kinafurika, hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa