Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,296 | Umetazamwa mara 3,458
Download Nota Download MidiKiitikio.
Chereko Nderemo na furaha duniani zimetawala, Mwokozi wetu leo amezaliwa amelazwa pangoni. (Wachungaji waja kumuona, Mamajusi waja na zawadi. Nasi twendeni na zawadi tukamsalimu x2)
Beti
1.Imbeni imbeni nyimbo za kushukuru, pazeni sauti enyi waulimwengu. Karibuni mtazameni hapo pangoni.
2.Wachunga waacha kondoo malishoni, kwa mbio na moto waenda pangoni. Kumuona mkombozi aliyezaliwa.
3.Ni habari ya furaha mbinguni na duniani, maana mji wa Daudi mwokozi amezaliwa. Atukuzwe Mungu Baba juu mbinguni.