Ingia / Jisajili

Njoni Pangoni

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 552 | Umetazamwa mara 2,295

Download Nota
Maneno ya wimbo

1.A:Njoni njoni pangoni, mtazameni mfalme wenu, amelazwa pangoni, kwenye hori la ng'ombe B:Zeze  ngoma vinubi, tucheze twimbe kwa furaha, mwokozi kazaliwa, tumshangilie leo.

Njoni muone, mwokozi wetu, leo amezaliwa (amezaliwa) amelazwa pangoni. x2

  • 2.A:Kimya bara na bahari, kimya mbingu na dunia, Bwana na Muumba wenu, mtoto Yesu asinzia. B:Malaika wanashuka, mfalme kumlindia, wanatunga nyimbo nzuri, mtoto Yesu kumwimbia.
  • 3.Malaika akawatokea wachungaji, akawambia msiogope, nawaletea habari njema katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto Yesu, ndiye Kristu Bwana Aleluya.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa