Ingia / Jisajili

Salamu Mama Maria

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 132 | Umetazamwa mara 840

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka C
- Mwanzo Maria Mtakatifu Mama wa Mungu (1 Januari)
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 12 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C
- Antifona / Komunio Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Kwa furaha twakujia Salama Mama, Wanao twakusalimu Salamu Mama, salamu Mama 2. Ee Mama mwenye uwezo twakusalimu, uwezo umejaliwa salamu, Salamu Mama 3. Wanao utuombee Salamu Mama, msaada twauhitaji salamu, Salamu Mama 4. Na yako maombezi Yesu apenda, salazo kweli ni tamu, hakika zampendeza. KIITIKIO: (Salamu) Salamu Mama Maria (Salamu) Salamu Mama Maria (Wanao) twakusalimu (Salamu) Mama Maria (Wanao) twakusalimu Salamu Maria x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa