Mtunzi: Alex Mwashemele
> Mfahamu Zaidi Alex Mwashemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Mwashemele
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: alexander mwashemele
Umepakuliwa mara 651 | Umetazamwa mara 2,239
Download Nota Download MidiEe Mungu Mungu wangu uniumbie moyo safi uniumbie moyo safi *
mashairi
1.Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako ,kwakiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa makosa yangu
2.Ee Mungu uniumbie moyo safi uifanye upya roho iliyo tulia ndani yangu ,usinitenge na uso wala roho mtakatifu usiniondolee