Ingia / Jisajili

ENYI WATU WA GALILAYA

Mtunzi: Alex Mwashemele
> Mfahamu Zaidi Alex Mwashemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Mwashemele

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: alexander mwashemele

Umepakuliwa mara 192 | Umetazamwa mara 929

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa galilaya ,Mbiona mmesimama,Mkitazama Mbinguni , Atakuja Vivyo hivyo mlivyo mwona akienda zake mbinguni Aleluya. shairi Yesu huyu amechukuliwa kutoka kwenu kwenda kwa baba atakuja vivyo hivyo mlivyo mwona akienda Mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa