Mtunzi: Evance Danda
> Mfahamu Zaidi Evance Danda
> Tazama Nyimbo nyingine za Evance Danda
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Evance Danda
Umepakuliwa mara 364 | Umetazamwa mara 1,311
Download Nota Download MidiKiitikio.
Dondokeni enyi Mbingu toka juu(3&4 dondokeni) enyi Mbingu toka juu, Nchi ifunguke imtoe mwokozi.
Mashairi.
1.Mimi nitakutangulia wewe,nakuisawazisha njia yako,nitakutangulia,nitakutangulia wewe.
2.Ee Bwana kwa ajili ya mtumishi wako,mtumishi wako mteule,nimekuita,nimekuita jina lako.