Ingia / Jisajili

Akawanyeshea Mana

Mtunzi: Evance Danda
> Mfahamu Zaidi Evance Danda
> Tazama Nyimbo nyingine za Evance Danda

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Evance Danda

Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 575

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Akawanyeshea mana, akawanyeshea mana ili wale, akawapa nafaka ya mbinguni Mabeti 1.Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu ambayo baba zetu walituambia, hayo hatutawaficha wana wao, huku tukiwaambia kizazi kingine, sifa za Bwana na nguvu zake. 2.Mwanadamu akala chakula cha mashujaa,aliwapelekea chakula cha kuwashibisha. 3.Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu,mlima alioununua kwa kwa mkono wake wa kuume.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa