Mtunzi: Evance Danda
> Mfahamu Zaidi Evance Danda
> Tazama Nyimbo nyingine za Evance Danda
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Evance Danda
Umepakuliwa mara 275 | Umetazamwa mara 1,086
Download Nota Download MidiKiitikio.
Uje Ee Bwana, Uje Ee Bwana(3-uje), Uje Ee Bwana kutuokoa.
mashairi.
1.Huishika kweli milele,huwafanyia hukumu walioonewa,huwapa wenye njaa chakula,Bwana hufungua waliofungwa.
2.Bwana huwafumbua macho,Bwana huwainua walioinama,Bwana huwapenda wenye haki,Bwana huwahifadhi wageni.
3.Huwategemeza yatima na mjane,bali njia ya wasio haki huipotosha,Bwana atamiliki milele,Mungu wako Ee sayuni,kizazi na kizazi.