Mtunzi: Evance Danda
> Mfahamu Zaidi Evance Danda
> Tazama Nyimbo nyingine za Evance Danda
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Evance Danda
Umepakuliwa mara 490 | Umetazamwa mara 1,701
Download Nota Download MidiKiitikio.
(Pokea sadaka ya shukrani yetu tuliyopata kwa kazi ya mikono yetu, uithibitishe Ee Bwana, iwe ishara ya ukuu wako) *2
Mashairi
1.Uliipokea sadaka ya abeli mtumishi wako,ukashusha moto katika sadaka ya Eliya,ushuke Bwana uipokee na ya sisi.
2.Mazao na mali twakutolea uvitakase,viwe fidia ya dhambi tulizotenda,tunakusihi uvipokee Ee Bwana.
3.Ulipo Bwana sala yangu ikufikie,ipae mbele zako kama moshi wa ubani,utushushie baraka nyingi Ee Bwana.