Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo

Umepakuliwa mara 1,037 | Umetazamwa mara 1,737

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Mungu wetu utuokoe, utukusanye kwa kututoa, katika mataifa X2 1. Na ahimidiwe Mungu wetu, tangu sasa hata milele 2. Msifuni Mungu kwa kuwa ni mwema, fadhili zake ni za milele 3. Ni nani anayeweza kumsifu, kwa kutaja matendoye makuu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa