Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nitakutukuza

Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 8,348 | Umetazamwa mara 16,098

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana nitakutukuza nitakutukuza Bwana (kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu) x 2

  1. Ee Bwana Mungu wangu nalikulilia ukaniponya.
     
  2. Ee Bwana Mungu wangu umeniinua kutoka kuzimu.
     
  3. Ee Bwana umeniinua na kunitoa kati yao. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa