Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 331 | Umetazamwa mara 1,499
Download Nota Download MidiHuu ni mwili wake Bwana na tuuabudu, tuuabudu.
Hii ni damu yake Bwana na tuiabudu, tuiabudu.
FUMBO LA IMANI
Ee Bwana tunatangaza kifo chako nakutukuza ufufuko wako mpaka utakapo kuja.