Ingia / Jisajili

Amka Kinanda Na Kinubi

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 148 | Umetazamwa mara 189

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu moyo wangu ungali thabiti nitaimba nitaimba nitaimba zaburi X2

Amka kinanda (amka) amka kinubi (amka) nitaamka alfariji kukushuruku Bwana nitakuimbia zaburi kati ya mataifa X2

1. Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni na uaminifu wako hata mawinguni Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu na juu ya nchi yote uwe utukufu wako

2. Nitamwita Mungu aliye juu Mungu anitimiziaye mambo yangu atapeleka toka mbinguni na kuniokoa atukanapo yule atakaye kunimeza Mungu atazipeleka fadhili zake na kweli yake

Kwa kuwa Bwana umenifurahisha kwa kazi yako nitashangilia Ee Bwana jinsi yalivyo makuu matendo yako matendo yako X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa