Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 1,590 | Umetazamwa mara 3,812
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kutolewa Bwana Hekaluni
Tumezitafakari fadhili zako Ee Mungu ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia mkono wako wa kuume umejaa haki X2
1. Bwana ndiye aliye aliye mkuu na mwenye kusifiwa sana katika mji wa Mungu wetu katika mlima wake mtakatifu
2. Kwa maana ndivyo alivyo Mungu alivyo Mungu wetu milele na milele ndiye atakayetuongoza