Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 11
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka C
Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki x2, uniokoe na mtu wa hila asiye haki
1. Kwakuwa wewe ndiye Mungu uliye nguvu zangu kwa nini umenitupa ninakwenda nikihuzunika
2. Nimekukimbilia wewe uliye Mungu wangu nisiaibike milele