Mtunzi: Gaudence F. Mtui
> Mfahamu Zaidi Gaudence F. Mtui
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaudence F. Mtui
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Gaudence Mtui
Umepakuliwa mara 2,788 | Umetazamwa mara 6,389
Download Nota Download MidiEE BWANA UNIHUKUMU By Gaudence F Mtui
Ee Bwana unihukumu, unitetee kwa Taifa lisilo haki uniokoe na mtu yule wa hila asiye haki mtu wa hila asiye haki x2.