Ingia / Jisajili

Utushibishe

Mtunzi: Gaudence F. Mtui
> Mfahamu Zaidi Gaudence F. Mtui
> Tazama Nyimbo nyingine za Gaudence F. Mtui

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gaudence Mtui

Umepakuliwa mara 150 | Umetazamwa mara 351

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Utushibishe Bwana kwa fadhili zako Bwana utushibishe sisi utushibishe tena utishibishe, utushibishe Bwana kwa fadhili zako, ili na sisi tufurahi x2 1. Utujulishe kuzihesabu siku zetu, tujipatie moyo moyo wa hekima, Ee Bwana Bwana urudi hata lini, uwahurumie watu wako 2. Utushibishe asubihi utushibishe kwa fadhili zako, nasi tutashangilia na kufurahi siku zote, utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizotutesa, kama miaka ile tuliyoona mabaya 3. Matendo yako nayaonekane kwao watumishi wako, na adhama adhama yako kwao wanao, na uzuri wa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu, Naam kazi ya mikono yetu ithibitishwe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa